DAKIKA 45 ZA KWANZA ZIMEMALIZIKA TAIFA - LEKULE

Breaking

30 Mar 2014

DAKIKA 45 ZA KWANZA ZIMEMALIZIKA TAIFA




Mnyama SIMBA bado hali ni mbaya taifa kati ya Azam fc na Simba SS matokeo ni Azam 1 Simba.

Uko Mkwakwani Tanga matokeo nayo ni MGAMBO FC 1 YANGA FC 0,ila Mgambo wanacheza pungufu baada ya mchezaji mmoja wa mgambo kutolewa nje kwa red card kwa madai kwa amebeba mahirizi mwilini'Uko mbeya matokeo kati ya Mbeya city 1 na Prisons fc 0

No comments: