PPF YAENDELEA KUNG’ARA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 3 July 2016

PPF YAENDELEA KUNG’ARA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sostenes Lyimo, akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godious Kahyarara, na wasaidizi wake wakati walipotembelea katika Banda la Maonesho lam Mfuko huo kwenye Viwanja vya  SabasabaPicha na Mafoto Blog

Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janeth  Ezekiel, akizungumza na mwananchi aliyefika wenye Banda lao la Maonesho katika Viwanja vya Sabasaba wakati akimwelekeza jambo kuhusu mafao ya Mfuko huo. 

 Afisa Mwandamizi na Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna Shayo, akimfafanulia jambo mmoja kati ya wananchi waliofika katika Banda la Mfuko huo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba)  jijini Dar es Salaam.

 Mwananchi akitoa maoni yake katika mashine maalum  baada ya kupata huduma kwenye Banda la Maonesho la Mfuko wa Pensheni wa PPF,  Maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea  Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Mwananchi akitoa maoni yake katika mashine maalum  baada ya kupata huduma kwenye Banda la Maonesho la Mfuko wa Pensheni wa PPF,  Maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea  Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Afisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mwajuma Msina, akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama Mohamed Hassan (23) aliyejiunga na huduma ya ‘Wote Scheme’ wakati alipotembelea kwenye Banda la Maonesho la Mfuko huo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Post a Comment