Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO), Mary
Mtukula akikabidhi msaada wa kibinadamu kwa Bingwa wa Magonjwa ya kina
Mama wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Daniel Nkungu, leo jijini Dar es
Salaam.
Kaimu
Mganga Mkuu wa Hospital ya Mwananyamala Dkt.Delila Moshi akipokea
masada wa kibinadamu kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji Mamlaka ya
Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) Shaban Mkwanywa leo jijini Dar es
Salaam.
Kaimu
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Delila Moshi akizungumza
na waandishi wa habari juu ya kuwashukuru (DAWASCO)kwa kufanya usafi na
kutoa msaada wa kibinadamu leo jijini Dar es Salaam.
Wafanya
kazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) wakichukua baadhi
wa vitu walivyoendanavyo kwaajili ya kupeleka katika odi za wagonjwa.
Wafanya kazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO)wakielekea katka odi za wagonjwa.
Wafanyakazi wa (DAWASCO) kiwa wamesimama kusubili utaratibu wa kuingia odini.
Wafanyakazi wa (DAWASCO)wakitoa msaada kibinadamu kwenye odi ya watoto.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii).
No comments:
Post a Comment