Wanafunzi washiriki wa mashindano ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal Communications Services Access Funds ) wakitumia vifaa mbalimbali pamoja na simu za kisasa zilizopo katika duka la Airtel Expo wakati walipotembelea duka hilio katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF. Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel, Boaz(kushoto) akifafanua matumizi ya modem ya maajabu ‘wingle’ kwa wanafunzi washiriki wa mashindano ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal Communications Services Access Funds ) wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.
Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel Bw Stephen Makongoro (katikati) akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi washiriki wa mashindano ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal Communications Services Access Funds ) wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.
Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel, Boaz(kushoto) akifafanua matumizi ya modem ya maajabu ‘wingle’ kwa wanafunzi washiriki wa mashindano ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal Communications Services Access Funds ) wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.
No comments:
Post a Comment