Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, walipofika ofisini kwake hivi
karibuni, wakiwa katika ziara mkoani humo kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe
wa Kiwira.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini,
Profesa James Mdoe, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu
ya Nishati na Madini wakati wa ziara yao kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe
wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya, hivi karibuni.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, wakiwa katika ziara
kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira mkoani Mbeya hivi karibuni.
Kutoka
Kulia (mbele), ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Nishati na Madini, Ussi Pondeza, Mjumbe wa Kamati na Mbunge wa Msalala,
Ezekiel Maige pamoja na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira,
Evans Mwakambonja, wakati wa ziara ya Kamati husika kukagua mgodi huo
hivi karibuni.
Sehemu ya eneo la Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya.
Mkuu
wa Wilaya ya Rungwe, Mwalimu Zainabu Mbussi (katikati), akizungumza na
baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini,
wakati wa ziara ya Kamati hiyo mkoani Mbeya hivi karibuni, kukagua Mgodi
wa Makaa ya Mawe wa Kiwira.
No comments:
Post a Comment