Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la FA Tanzania imetoka - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 13 April 2016

Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la FA Tanzania imetokaApril 12 2016 Shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kushirikiana na kituo cha Azam TV kilifanya live droo ya kupanga mechi za nusu fainali ya Kombe la FA ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Utaratibu wa droo hiyo ulikuwa timu ya kwanza kutajwa ndio ilikuwa inapata nafasi ya kuwa mwenyeji.
2
Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Tanga katika uwanja wa Mkwakwani April 24 2016
1
Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Shinyanga April 23 2016
Post a Comment