Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Raila Odinga pamoja na Mke wa Raila
Bi. Ida Odinga wakifatilia kwa makini mahubiri ya Paroko Padre Henry
Mulinganisa katika ibada ya pili ya pasaka Chato Mkoani Geita.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisali katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Bi.
Ida Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Raila Odinga pamoja na Rais
Dkt. John Magufuli wakifatilia kwa makini mahubiri yaliyokuwa yakitolewa
katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Raila Odinga, Mke wa Raila Bi. Ida
Odinga pamoja na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakishukuru mara baada
ya ibada.Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti takatifu kutoka kwa Paroko
wa Parokia ya Bikira Maria Chato Padre Henry Mulinganisa .
Kikundi cha Kwaya ya vijana wakiimba katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli amechangia kiasi cha Shilingi milioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa kanisa jipya la la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasalimia waumini wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Bi. Ida Odinga pamoja na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakifurahia salamu zilizokuwa zikitolewa na Raila Odinga katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono kutakiana amani ya bwana na masista wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Raila Odinga wakiagana na waumini wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sista Maria Theleza Ntihabose wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.PICHA NA IKULU.

No comments:
Post a Comment