Picha 4: Basi la abiria lililopata ajali likiwa limebakiza dakika 15 kuingia Dar es salaam - LEKULE

Breaking

14 Mar 2016

Picha 4: Basi la abiria lililopata ajali likiwa limebakiza dakika 15 kuingia Dar es salaam



March 13 2016 usiku wa saa moja kumetokea ajali ya basi la Leina Tours lililoanguka maeneo ya Kimara Bucha, Dar es salaam na taarifa rasmi zinasema lilikua likitokea Kahama Shinyanga kuja Dar es salaam ambapo idadi ya waliofariki haijatolewa ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Mwananyamala Hospitali na Muhimbili.3X6A8409
3X6A8423
3X6A8431
3X6A8440

No comments: