Najua kabisa kuna watu wangu wao ni damdam na kujionea picha za miji na majiji mbalimbali, basi jukumu langu kila siku ni kuhakikisha naifanya kazi ya kuzikusanya zote kama hizi na kuzisogeza hapa kwenye SOSTENES BLOG
Na leo tayari ninazo hizi picha 16 kutoka Jiji la Mbeya maarufu kama Green City, huu ni muonekano wa barabara zinazozunguka jiji hili ambazo inawekana umeshawahi kuziona au hujawahi kabisa kuziona.
No comments:
Post a Comment