Pamoja na ukali wake golini ila Tunda Man ameshamuweka Juma Kaseja benchi…? Bonta kwanini usirudi Jela.. - LEKULE

Breaking

14 Mar 2016

Pamoja na ukali wake golini ila Tunda Man ameshamuweka Juma Kaseja benchi…? Bonta kwanini usirudi Jela..

Kama wewe ni mpenzi wa burudani basi Sostenes blog inakusogezea stori zote ambazo zimepata airtime kwenye 255 ya Clouds FM March 14 2016 moja wapo ya stori ambazo zimepata airtime leo ni pamoja na hii ya Tunda Man kumuweka Juma Kaseja Nje ya uwanja.
Mkali wa Bongofleva Tunda Man amesimulia wakati wakisoma na goli kipa Juma kasejana kusema kwamba alikuwa akimuweka staa huyo  nje ya uwanja ‘Nimesoma na Pawasa, Kaseja nimesoma na watu wengi sana ambao wengi wao wameenda Simba na Yanga yaani ukienda hata leo ukimtafuta Kaseja ukimuuliza atakwambia yaani, kwenye mechi 10 alikuwa anakaa benchi nane‘>>>Tunda Man

No comments: