Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. Slaa - LEKULE

Breaking

11 Mar 2016

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. Slaa

Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa  baraza kuu CHADEMA  ambao utamtangaza  Katibu  mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa


Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
Mwenyekiti wa baraza la wazee akiwasili uwanja wa ndege mwanza
Mwenyekiti wa chadema akiwasili hotel ya Gold Crest ambako mkutano wa baraza kuu chadema utafanyika.Kulia ni afisa habari wa chadema Tumaini Makene
Makamu katibu chadema Mh Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti
 Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo akijadili jambo na makamu katibu

Makamu katibu Mh Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwani

No comments: