Najua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia muonekano wa miji na majiji mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, na kazi yangu ikiwa ni kuhakikisha nakamilisha hitaji hilo, leo nakusogezea hizi picha 9 kutokea katikati ya Jiji la Dar es salaam leo March 23 2016 baada ya mvua kunyesha asubuhi.
Maeneo ya Posta, Dar maji yakiwa yamejaa katika kituo cha tax
Muonekano wa barabarani
Posta Dar es salaam, hali ya ubaridi pia ilijitokeza
Wafanyabiashara na watembea kwa miguu nao hawakuacha kuendelea na mishemishe zao
Maji katika baadhi ya barabara yalitawanyika pia


No comments:
Post a Comment