Mh Edward Lowassa Awasili Jijini Mwanza Tayari Kwa Baraza Kuu la Chadema Kesho 12/3/2016 - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 11 March 2016

Mh Edward Lowassa Awasili Jijini Mwanza Tayari Kwa Baraza Kuu la Chadema Kesho 12/3/2016

Mh Edward Lowassa akiwasili Hotel ya Gold Crest jijini mwanza
Mh  Hawa Mwaifunga (makamu mwenyekiti baraza la wanawake chadema-bawacha) na Mh Ester Bulaya (Mb-bunda mjini) wakimlaki Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa

Post a Comment