APRIL 2 Wanasema hatumwi mtoto dukani katika nchi ya hispania,ni ligi maarufu inayoitwa La liga ni watawala wakuu wa nchi hiyo barcelona na maadui zao real madrid.Katika mechi ya mwisho timu ya barcelona iliifunga timu hiyo ya real madrid magoli 4-0 katika dimba la santiago bernabeu
huku timu ya barcelona ikiongoza timu ligi yao ya uhispania na madrid wakishika nafasi ya tatu katika ligi ya uhispania
huku ikionekana piani vita kati ya safu ya ushambulizi ya real madrid inayoongozwa na ronaldo,balle na benzema huku pia na safu ya barcelona maarufu kama MSN
Na pia hili ndiyo dimba ambalo mtanange huo wa watani wa jadi hao ambao watapambana
No comments:
Post a Comment