BAADA YA RICH MAVOKO, AY NAYE AUNGANA NA WCB By News Room2 - March 14, 2016 0 - LEKULE

Breaking

14 Mar 2016

BAADA YA RICH MAVOKO, AY NAYE AUNGANA NA WCB By News Room2 - March 14, 2016 0



Siku chahe baada ya Rich Mavoko kusaini na mkataba wa chini ya lebo ya WCB, leo msanii AY ameposti picha ambayo inamuonesha akiwa na meneja wa lebo ya WCB Sallam iliyokuwa na ujumbe wa unaothibitisha kuwa kwa sasa msanii huyo yupo chini ya Lebo ya WCB.AY

No comments: