wakala wa utoaji
misaada wametoa onyo kuhusiana na majanga ya kibinadamu nchini Syria
ambayo yanasababishwa na mapigano yanayoendelea magharibi mwa mji wa
Aleppo unasababisha majanga.
baraza la kimataifa la shirika la
msalaba mwekundlinasema usambazaji wa maji katika mji huo umesimamishwa
sasa ni wiki mbili zimepita huku kituo cha pampu kikiwa kimeharibiwa.
wasambazaji wengine wa misaada wamesitisha huduma huku kukiwa na tatizo
la mafuta na umeme.Madaktari wa kujitolea wasio na mipaka wanasema hospitali zipatazo tatu zimeteketezwa na mashambulizi ya anga.
ICRC imesema misaada zaidi ya chakula,maji na madawa yanahitajika katika siku za usoni.
No comments:
Post a Comment