MGANGA MKUU MSAIDIZI WA MANISPAA YA ILALA WILLY SANGU AFURAHISHWA NA KITUO HICHO CHA KISASA KUFUNGULIWA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 7 February 2016

MGANGA MKUU MSAIDIZI WA MANISPAA YA ILALA WILLY SANGU AFURAHISHWA NA KITUO HICHO CHA KISASA KUFUNGULIWA
 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akizungumza jambo na wafanyakazi wa kituo hicho na wadau Dar es Salaam waliofika katika uzinduzi huo wa kituo kipya cha kisasa kinachotoa huduma mbalimbali za Upasuaji  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wapili kulia) akiangalia Daftari la mahudhurio na kuona namba kubwa ya wagonjwa inayoongezeka kwa wanawake ni ya watu wenye magojwa ya UTI, kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha JPM


  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akimpa pole mgojwa Umrat Haroub aliyetoka magomeni kufata huduma katika kituo hicho kilichopo Kimanga Tabata Jijini Dar es Salaam
 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa pili kushoto) akikata utepe katika uzinduzi wa Kituo cha Jerome Peter Mkiramweni (JPM), kilichopo Tabata Kimanga Dar es Salaam . wakwanza kushoto ni Mganga Mkuu wa Upasuaji wa kituo hicho Dtk. Amiri Ally Binzoo na watatu kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho cha JPM, Dkt, Jerome Mkimwani . 

 Picha ya wafanyakazi wa kituo cha kisasa na mgeni rasmi ambaye ni  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa nne kulia)
Post a Comment