Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza, Charles Kitwanga akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa
Kata ya Kanyelele jimboni humo kabla ya kuanza mkutano wake na wananchi
hao uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwakalima. Waziri
Kitwanga alichangia shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa choo cha
Shule ya Sekondari Kanyelele ambapo kimeharibika. Hata hivyo, aliwataka
wananchi hao waweke utamaduni wa kuchangia maendeleo ya vijiji vyao.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (wapili kushoto) akimuuliza swali Diwani
wa Kata ya Kanyelele, Paschal Kilangi (kulia) wakati Mbunge huyo
alipokuwa akikiangalia choo cha Shule ya Sekondari Kanyelele jimboni
humo kilichobomoka. Waziri Kitwanga alichangia shilingi laki tano kwa
ajili ya ujenzi wa choo hicho na kuwaomba wananchi wa kata hiyo waanze
kuchanga kwa kasi ili choo hicho kiweze kutengenezwa kwa haraka.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (wapili kushoto) akiwa na Diwani wa Kata
ya Kanyelele, Paschal Kilangi (kushoto) pamoja na Mkuu wa Shule ya
Sekondari Kanyelele, Kudehwa Gapi (wapili kulia) wakiwa wanaikagua shule
hiyo ambayo choo chake kilikuwa kimebomoka kwa kudidimia chini ya
ardhi. Waziri Kitwanga alichangia shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi
wa choo hicho na kuwaomba wananchi wa kata hiyo waanze kuchanga kwa
kasi ili choo hicho kiweze kutengenezwa kwa haraka.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (kulia) akikiangalia kikundi cha
burudani cha Kijiji cha Mwakalima kilichokuwa kinatumbuiza kabla ya
kuanza kwa mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Kata ya Kanyelele
jimboni humo. Waziri Kitwanga alichangia shilingi laki tano kwa ajili ya
ujenzi wa choo cha Shule mya Sekondari Kanyelele kilichoharibika na
kuwaomba wananchi wa Kata hiyo waanze kuchangia kwa kasi ili choo hicho
kiweze kutengenezwa kwa haraka.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (kulia) akizungumza na wananchi wa Kata
ya Kanyelele katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Shule ya
Msingi Mwakalima jimboni humo. Waziri Kitwanga kabla ya mkutano huo
alikikagua choo cha Shule ya Sekondari Kanyelele kilichobomoka na
alichangia shilingi laki tano pamoja na kuwataka wananchi wa kata hiyo
kuchangia fedha zaidi ili choo hicho kiweze kutengenezwa kwa haraka.
Diwani
wa Kata ya Kanyelele, wilayani Misungwi, Paschal Kilangi akiwaonyesha
wananchi shilingi laki tano alizotoa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Charles
Kitwanga (kushoto) kwa ajili ya ujenzi wa choo cha Sekondari ya
Kanyelele kilichobomoka shuleni hapo. Waziri Kitwanga aliwaomba wananchi
wa kata hiyo kuhakikisha wanatoa michango zaidi ili choo hicho kiweze
kutengenezwa kwa haraka.
Mtendaji
wa Kijiji cha Mwakalima, Kata ya Kanyelele, wilayani Misungwi, Samson
Ngalula akisoma risala kwa niaba ya wananchi kabla ya Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza,
Charles Kitwanga (kushoto) hajaanza kuzungumza na wananchi hao katika
mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi
Mwakalima kijijini humo. Waziri Kitwanga alichangia shilingi laki tano
kwa ajili ya ujenzi wa choo cha Shule mya Sekondari Kanyelele
kilichoharibika na kuwaomba wananchi wa Kata hiyo waanze kuchanga kwa
kasi ili choo hicho kiweze kutengenezwa kwa haraka. Picha zote na Felix
Mwagara.
No comments:
Post a Comment