Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.

Kulia
ni Dkt.Peter Maziku ambae ni Daktari katika kitengo cha CTC katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akiwa pamoja na
Dkt.Charles Ludibuka ambae ni Mfamasia katika Hospitali hiyo Sekour
Toure walishiriki zoezi la usafi katika Mazingira ya Hospitali hiyo.
Katika picha wakichoma uchafu baada ya usafi.
Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la
Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi
lililofanyika hii leo January 30,2016.
Hapa
wakiwa katika barabara ya Machemba Jijini Mwanza ambayo inatoka na
kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sour Toure.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la
Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi
lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la
Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi
lililofanyika hii leo January 30,2016. Hapa wakiwa katika barabara ya
Machemba Jirani na Kituo cha mafunzo ya Lugha mbalimbali cha
International Language Training Centre Jijini Mwanza ambayo inatoka na

Wanafunzi
pamoja na Watumishi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM tawi la Mwanza,
pia nao walishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila
Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
No comments:
Post a Comment