Video kutoka India ya Muhindi aliyechukua melody na beat ya wimbo wa Dully Sykes. - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 14 January 2016

Video kutoka India ya Muhindi aliyechukua melody na beat ya wimbo wa Dully Sykes.Kitambo kidogo tulikua tukizisikia nyimbo Wasanii wa bongo wakidandia beat na melody za nyimbo kutoka kwenye mabara nje ya Afrika sanasana Marekani ila leo tunayo video ya Msanii wa India aliyechukua melody na beat ya wimbo wa ‘Utamu’ wa Dully Sykes, unaweza kuitazama video yenyewe hapa chini na yote haya ameyafanya kwa ruhusa ya Dully Sykes.


Post a Comment