UNAHITAJI KUJUA MATOKEO YAKO YA FORM TWO,INGIA HAPA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Saturday, 16 January 2016

UNAHITAJI KUJUA MATOKEO YAKO YA FORM TWO,INGIA HAPA

http://www.necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htm
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

Post a Comment