NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA - LEKULE

Breaking

23 Jan 2016

NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji Mstaafu Mark Bomani
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.(P.T)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa kisukuma Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza utamaduni wa Kisukuma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya.
Sehemu ya jukwaa la kukalia la uwanja wa ndai wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.
Wanafunzi  wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya michezo, Malya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo aliahidi kutatua changamoto mapema.
wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo- Malya wakionyesha uwezo wao wa kimichezo kwaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza.

No comments: