Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said azikwa jana jijini Dar


 Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, wakati wakiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya mazishi.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye Mazishi ya aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es salaam.

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.