Mbwana Samatta kaanza maandalizi ya kuelekea KRC Genk ya Ubelgiji na tuzo yake - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Monday, 11 January 2016

Mbwana Samatta kaanza maandalizi ya kuelekea KRC Genk ya Ubelgiji na tuzo yake

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11,Samatta January 11 alikutana na Rais mstaafu wa  wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete na kupewa pongezi baada ya ushindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani.
SAM1
Samatta January 11 pia aliitwa ubalozi wa Ubelgiji kwa ajili ya visa. Mbwana Samattakwa sasa anatajwa kuwa katika mipango ya mwisho ya kujiunga na klabu ya KRC Genkya Ubelgiji, hivyo kwenda kwake ubalozini hapo ni kuashiria kuanza maandalizi ya safari kwa ajili ya kwenda Ubelgiji kuanza maisha mapya ya soka.
SAM2
SAM3
Post a Comment