Lowassa Akutana na Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko Kutoka Soko la Kariakoo - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 15 January 2016

Lowassa Akutana na Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko Kutoka Soko la KariakooAliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko kutoka soko kuu la Kariakoo, Jijini Dar es salaam waliomtembelea Ofisini kwake jana Januari 14, 2016.


Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, Severin Mushi, akizungumza wakati akiutambulisha ujumbe wake kwa Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, walipokwenye kumuona jana Januari 14, 2016.


Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, mara baada ya kuzungumza nao jana, Jijini Dar es salaam
Post a Comment