Bunge la 11 Linaanza Leo.....Haya ni Mambo 8 Yatakayowasha Moto BungeniKikao cha pili cha Bunge la kumi na moja linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati ya wabunge wa vya upinzani vinavyounda Ukawa na wabunge wa CCM kimeanza leo mjini Dodoma huku mambo 8 muhimu yakitarajiwa kuibua mjadala mkubwa.

Jambo la kwanza ni kujadili hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa bungeni hapo mwaka jana katika kikao cha kwanza cha bunge hilo. Hapo suala la kupambana na ufisadi linatarajia kuleta hoja nzito zaidi kutoka kila upande. Hotuba ya Rais ilisifiwa na takribani kila mwananchi pamoja na wanasiasa mbalimbali.

Pili, Kurudiwa kwa uchaguzi Mkuu wa Zanzibar. Hili ni suala nyeti na linalopaswa kubebwa kwa uangalifu mkubwa. 

Wabunge wa Ukawa na CCM wanatarajiwa kurusha makombora yao ya hoja na maoni katika kusaidia namna ya kupata muafaka. Bila shaka hapo mengi yataibuka na huenda kukawa na mgongano mkubwa wa hoja na mawazo.

Tatu, Zoezi la Bomoabomoa pia linaweza kupewa nafasi yake katika Bunge hilo hususan katika utekelezaji wake na mapungufu yaliyojitokeza.

Nne,Maazimio ya Bunge juu ya sakata la ESCROW linaweza kuwa mada moto zaidi katika bunge hilo kwani tayari kumekuwa na vutankuvute kabla ya Bunge. 

Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ambao ni mahasimu wa kisiasa wameonekana kuwa na nia moja katika kulirudisha bungeni sakata la ESCROW. Mmiliki wa Kampuni ya IPTL/PAP, Harbinder Singh Sethi amepinga mahakamani kurudishwa bungeni kwa sakata hilo lakini Zitto amesisitiza kuwa mtu binafsi hawezi kulizuia Bunge kutekeleza majukumu yake.

Tano,Utekelezaji wa sera ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne pia ni suala ambalo litaleta mjadala katika Bunge hilo, kwa kuzingatia changamoto zilizoanza kuripotiwa.

Sita,Uteuzi wa wajumbe wa kamati za Bunge ambao vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa vimeulalamikia na hata kutishia kuususia unatarajiwa kuwa sehemu ya hoja zitakazoleta mjadala mkubwa katika Bunge hilo.

Saba,Ni migogoro iliyoibuka katika chaguzi za Mameya wa majini na Manispaa pamoja na wenyeviti wa Halmashauri. Waziri wa TAMISEMI atakuwa na kazi ya kujibu hoja na maswali yatakayokuwa yanaelekezwa kwake kuhusu zoezi hilo.

Nane, Hoja binafsi za wabunge zinatarajiwa kuibuliwa na kuleta mjadala mzito kwani tayari baadhi ya wabunge wamekwisha eleza nia yao ya kupeleka bungeni hoja binafsi kuhusu masuala mbalimbali.

Bunge hili linatarajiwa kuwa la kipekee  na lenye changamoto kubwa kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani ambao wameunda umoja wao.
Previous
Next Post »
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Label

KITAIFA NEWS KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI SIASA TECHNICAL ARTICLES f HAPA KAZI TU. LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC DIGITAL ROBOTICS SEMICONDUCTORS MAKALA GENERATOR GALLERY AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING MAGAZETI REFERENCE IOT FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT VIDEO ZANZIBAR YETU TRANSDUCER & SENSOR MITINDO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE SYNCHRONOUS GENERATOR ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES DIGITAL ELECTRONICS AUTOMOTIVE PROTECTION SOLAR TEARDOWN DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS MICROCONTROLLER CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES CAMERA TECHNOLOGY GENERATION WEARABLES BATTERIES COMMUNICATION FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE NUCLEAR ENERGY CONTROL SYSTEM FILTER`S SMATRPHONE BIOGAS POWER TANZIA BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT cartoon CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP ENERGY SOURCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD C PROGRAMMING HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP HOME AUTOMATION INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID COMPUTER ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM BLUETOOTH CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR USB AUDIO BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS ELECTRICAL LAWS HMI[HUMANI INTERFACE MACHINES INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS CONTROL MOTION ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS APPS & SOFTWARE BASIC AC THEORY BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE RECTIFIER AND CONVERTERS SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DC MOTOR DRIVES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION LAPTOP THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART WIRELESS BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING FILTER DESIGN HARDWARE INDUSTRIAL DRIVES JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER SCIENCE VALVE WWE oscilloscope 3D TECHNOLOGIES COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FEATURED FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER MATERIAL PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF