Pauline Rupia akiwa na Wajukuu wa Balozi Paul Rupia katika Misa ya kutimiza miaka 80 katika kanisa la Anglikana Dar es Salaam.
Balozi
Paul Rupia akiwa pamoja na familia yake katika misa ya kutimiza miaka
80 iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglican Dar es Salaam.
Judge
Augustino Ramadhani (kushoto) akimpongeza Balozi Paul Rupia kwa kutimiza
miaka 80 wakati wa Misa Maalumu ya Shukrani iliyofanyika jana katika
Kanisa Kuu la Anglikana Dar es Salaam.
Balozi
Paul Rupia akiwa na Mkewe Rose Rupia kabla ya kuanza kwa Misa Maalum ya
Shukrani ya kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa jana katika kanisa la
Angalikana.
Familia
ikimsindikiza Balozi Paul Rupia kupata Baraka kutoka kwa Askofu
Valentino Mokiwa katika Misa ya Shukrani ya kutimiza miaka 80 ya
kuzaliwa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dar es Salaam.
Askofu Valentino Mokiwa akianza kutoa Baraka kwa Balozi Paul Rupia na familia yake.
Mzee
Balozi Paul Rupia (kulia) akizungumza katika Misa ya shukrani
iliyoongozwa na Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa la
Kianglikana Tanzania Valentino Mokiwa (kushoto) iliyofanyika katika
Kanisa la St. Alban Posta Dar es Salaam jana. Misa hiyo ya shukrani
ilifanyika katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza
miaka 80. Katika ni Mke wake Mama Rose Paul Rupia.
Askofu
Valentino Mokiwa akitoa Baraka kwa Balozi Paul Rupia, familia yake na
ndugu na jamaa waliohudhuria misa ya shukrani ya kutimiza miaka 80 ya
kuzaliwa katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Albano Dar es
Salaam.
Balozi
Paul Rupia akiwashukuru ndugu na jamaa waliohudhuria ibada ya shukrani
ya kutimiza miaka 80 iliyofanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Albano
Dar es Salaam jana.
Balozi
Paul Bomani akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wananchi wa
Dar es Salam (DCB) Bwana Edmund Mkwawa (katikati) nje ya Kanisa la
Kianglikana la Mtakatifu Albano baada ya kumalizika kwa ibada ya
shukrani ya kutimiza miaka 80. Balozi Rupia ni Mwenyekiti wa DCB.
Simon Mihayo Rupia (katikati) akiwa na Mama yake Mdogo (kushoto) na Shemeji yake Peter mara baada ya ibada.
Mtoto
wa kwanza wa Balozi Paul Rupia Bwana Peter Rupia (wa tatu kulia) akiwa
na wadogo zake baada ya misa ya shukrani ya kutimiza miaka 80 ya Baba
yake iliyofanyika jana Kanisa la Kianglikana Mtakatifu Albano Dar es
Salaam.
Balozi
Paul Rupia (katikati) akiteta jambo na Askofu Valentino Mokiwa (kulia)
na Jaji Msataafu Joseph Sinde Warioba (kushoto) baada ya misa ya
shukrani ya kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa.
Balozi Paul Rupia akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba.
Mama
Rose Paul Rupia akiwa na wanawe baada ya misa ya shukrani ya kutimiza
miaka 80 ya Balozi Paul Rupia. Kulia ni Susan Kidha - Rupia na kushoto
ni Chris Kalunde Rupia.
Balozi
Paul Rupia (kulia) akiwa na mwanae wa mwisho Chris Kalunde Rupia mara
baada ya misa ya shukrani ya kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa iliyofanyika
jana katika Kanisa la Anglikana Mtakatifu Albano Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment