Katibu
Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khadija Bakari Juma
akitoa ufafanuzi kwa Wadau waliohudhuria hafla ya Utiaji Saini wa
Mikataba miwili ya Ujenzi baina ya Wizara yake na Makandarasi kutoka
M/S. Hamphrey Construction Limited ya Arusha na Mindset Teches (T) ya
Dar es Salaam Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu
Zanzibar.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika sherehe za kutiliana saini mikataba hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khadija Bakar Juma na
Mkandarasi wa Kampuni ya M/s.Humphrey Construction Limited ya Arusha
wakitiliana saini Mkataba wa kupanua Taasisi ya Maendeleo ya Utalii
iliopo Maruhubi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Khadija Bakar Juma na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi M/s. Humphrey Construction Limited ya
Arusha wakibadilishana Mikataba baada ya kutiliana saini.
Mkandarasi
wa Kampuni ya M/s. Mindset Techies (T) Limited ya Dar es Salaam Thabit
Kombi akitia saini Mkataba wa Ujenzi wa Kupanua Taasisi ya Sayansi na
Teknolojia ya Karume katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Zanzibar.
Katibu
Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Khadija Bakar Juma na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi M/s. Mindset Techies (T) Limited ya Dar
es Salaam Thabit Kombi wakibadilishana Mikataba baada ya kutiliana
saini.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya habari Utamaduni Na Michezo Zanzibar Issa Mlingot
Ali akizungumza na Wadau waliohudhuria katika Mkutano huo.
No comments:
Post a Comment