Wafanyakazi
wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi
katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli
aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo
mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua
ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.

wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakigawana nyenzo za kufanyia usafi
kabla ya kuanza usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam
leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John
Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike
kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa
Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya
wananchi.
Meneja
Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (katikati) akizungumza na baadhi ya
waandishi wa habari (hawapo pichani) kufafanua juu ya zoezi la usafi
lililofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika Soko la Temeke Stereo
pamoja na kukabidhi vifaa vya kufanyia usafi.
Ofisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota
(wa pili kulia) akikabidhi baadhi ya vifaa vya usafi kwa Ofisa Masoko
Manispaa ya Temeke, Tito Nombo (mwenye shati jeupe) kabla ya kuanza
zoezi la kusafisha maeneo mbalimbali ya soko la Temeke Stereo la jijini
Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa TTCL na maofisa wa
soko la Temeke wakishuhudia zoezi hilo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi
katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli
aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo
mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua
ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la
Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya
Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa
ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa
mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (kulia) akifanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi
katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli
aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo
mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua
ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Sehemu
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi
katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli
aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo
mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua
ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Ofisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota
(kulia) akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la
Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.

Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akisaidiana na wafanyakazi wenzake
kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment