TRA Yakusanya Bilioni 5 za Kodi ya Makontena 329......Wafanyakazi 37 Wasimamishwa Kazi - LEKULE

Breaking

4 Dec 2015

TRA Yakusanya Bilioni 5 za Kodi ya Makontena 329......Wafanyakazi 37 Wasimamishwa Kazi


Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA,Phillip Mpango  amewasimamisha kazi wafanyakazi 37 mchana huu  kupisha uchunguzi wa sakata la upotevu wa makontena bandarini

Mpango pia ametoa agizo la watumishi wote wa TRA kuwasilisha taarifa za mali zao kwa utawala na kusiwepo na udanganyifu wowote.


Amesema mpaka sasa TRA imekusanya kiasi cha Tsh Bilioni 5 za kodi ya makontena hayo yaliyokuwa yamepitishwa kinyemela

No comments: