Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa
mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa
vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa.
Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na mpaka anapanda ndege kurudi kwao… enjoy mtu wangu !!
No comments:
Post a Comment