Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa NSSF , Crescentius Magori akizungumza na Afisa
Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko
na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya
wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
(Na Mpigapicha Wetu).
Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari
uanachama wa NSSF wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta
isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kushoto)
akimkabidhi fulana mwanachama wa hiari aliyejiunga na NSSF wakati wa
wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika
Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.

No comments:
Post a Comment