Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura akipewa
maelekezo na Naibu Mkurugenzi wa maswala ya utangazaji wa Televisheni wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Frederick Ntobi mara baada ya
kutembelea chumba cha maswala ya mawasiliano hasa ya Televisheni leo
jijini Dar es Salaam.
Naibu
Mkurugenzi wa maswala ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,
Haruni Lemanya akizungumza na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo, Annastazia Wambura pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) leo jijini Dar es Salaa mara baada ya
Naibu waziri kutembelea katika ofisi ya Maswala ya Posta katika Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) WA kitengo cha
TTMS, Mhandisi Gabriel Mruma akizungumza na waandishi wa habari jijini
Dar es Salaam leo mara baada ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura kutembelea katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Baadhi
ya Kazi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) kwa upande wa mitandao
ya Simu za mkononi na maswala ya Miamala ya Pesa katika mitandao ya
simu kilichopo katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura
akizungumza na wafanyakazi pamoja na wakurugenzi wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya waandishi wa habari na wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo, Annastazia Wambura jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment