Mwenyekiti
wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongozana na Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli , Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim
Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana
Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongoza
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es
salaam leo Desemba 7, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipigiwa saluti na Katibu Mkuu wa CCM
Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt
Salim Ahmed Salim. wengine ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa,
Makamu wa Rais Mhe samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.
Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia nchini Bi. Bella Bird alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam
leo Desemba 7, 2015
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment