Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe A bass Ali Hassan Mwinyi, akitembelea
Kituo cha Afya cha Fuoni Zanzibar kinachotowa huduma kwa Wananchi wa
Jimbo hilo na jirani wakati akitimiza ahadi yake kwa kutuo hicha,
akipata maelezo kutokwa kwa mdhamini wa kituo hicho Muuguzi wa Afya ya
Jamii Bi Mwaka Pandu Makame akitowa maelezo ya eneo lao la kuchomea taka
za kituo hicho.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Ali Hassan Mwinyi akitembelea
kituo hicho cha Afya Fuoni Zanzibar akiwa katika ziara yake katika jimbo
lake kujiuonea ufanisi wa kituo hicho na kukabidha Madawa na kuvifanyia
mategenezo vyoo vya kituo hicho ni moja ya kero za Wananchi wanaofika
kituoni hapo.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Adass Mwinyi akitembezwa katika kituo
hicho na Madaktari wa Kituo hicho, akiwa katika ziara yake ya
kukamilisha ahadi yake juu ya kituo hicha kikifanyia mategenezo sehemu.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Mwinyi akimsikiliza daktari wa
kitengo cha kungolea meno katika Kituo hicho cha Fuoni Zainab Seif na
Khadija Khamis, wakimueleza Mbunge huyo baadhi ya vifaa vinakosekana
katika kitengo chao kwa ajili ya huduma ya kungolea meno Wananchi
wanaofika kituoni hapo. Kituo hicho kinatowa huduma za Uzalishaji wa
Kinamama kupiga Utra saund na huduma nyengine za matibabu.
Mbunge
wa Fuoni Mhe Abass Mwinyi akizungumza wa Wafanyakazi wa Kitengo cha
Meno katika Kituo cha Afya Fuoni wakati wa ziara yake kutimia ahadi
alizotowa kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika kituo hicho na kufanikisha
upatikanaji wa vifaa hivyo wanavohitaji katika kituo hicho kuondoa kero
kwa Wananchi wake wanaofika kituoni hapo kupata huduma ya meno na
nyeginezo.
Mhe
Abass Mwinyi akizungumza na Wafanyakazi wa Kituo cha Afya Fuoni Zanzibar
wakati wa ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa
ajili ya kituo hicho, Kinachotowa huduma kwa Wananchi wa Jimbo lake na
Wananchi wa jirani.ili kuboresha ufanisi wa huduma ya Afya kituoni
hapo.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe. Abass Mwinyi akizungumza na wafanyakazi
wa Kituo hicho na Wananchi wa Jimbo lake wakati wa ziara yake ya kwanza
katika jimbo hilo na kukabidhi vifaa na Madawa kwa kituo hicho. Mhe
Mbunge Abass amesema sasa Hapa Kazi Tu, ili kuwaletea maendeleo Wananchi
wa Jimbo lake na kuondoa kero zote katika jimbo hilo na kuwa Jimbo la
mfano katika majimbo yote ya Zanzibar.
Daktari
Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati
wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake
huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa
Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.
Wauguzi
wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe
Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake
kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi
wanaofika kupata huduma kituoni hapo.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Ali Hassaan Mwinyi akimkabidhi
fedha shilingi milioni moja Dakt. Dhamani wa Kituo cha Afya Fuoni
Zanzibar Said Fadhil Abass, kwa ajili ya kutatua makero zinazokikabili
kituo hicho cha Afya Fuoni ili kufanya kazi zao kwa kuwahudumia Wananchi
kwa ufanisi zaidi.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Ali Hassaan Mwinyi akimkabidhi
madawa Dakt. Dhamani wa Kituo cha Afya Fuoni Zanzibar Said Fadhil Abass,
kwa ajili ya matumizi ya kituo hicho kinachotowa huduma mbalimbali kwa
Wananchi wa Fuoni zikiwemo za kuzalisha kinamama na upigaji wa vipimo
vya utra sound katika kituo hicho na kulaza wagonjwa.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Ali Hassaan Mwinyi akimkabidhi
vifaa kwa akili ya vyoo vya kituo hicho Dakt. Dhamani wa Kituo cha Afya
Fuoni Zanzibar Said Fadhil Abass na kulia Muuguzi wa Afya ya Jamii
Kituoni hapo Mwaka Pandu Makame.
Mzee
wa Jimbo la Fuoni Mzee Takrima akizungumza wakati wa hafla hiyo ya
kukabidhi madawa na vifaa katika Kituo cha Afya Fuoni Zanzibar.
Wananchi wa Jimbo la Fuoni wakimsikiliza Mbunge wao.
Wauguzi
wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe
Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake
kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi
wanaofika kupata huduma kituoni hapo.
Mwananchi
wa Jimbo la Fuoni akitowa shukrani na kumtaka Mbunge wa Jimbo hilo
kukabidhiwa gari ya wagonjwa kwa ajili ya kuihudumia kutowa huduma kwa
Wananchi wanaofika kituoni hapo kupata huduma gari hiyi hutumika kwa
Wananchi kesi zao zinapokuwa zimeshindikana hapo na kuhamishiwa katika
Hospitali ya Rafuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
Sheha
wa Shehia ya Pangawe Jimbo la Fuoni akitowa shukrani kwa Mhe Mbunge
Abass Mwinyi kwa msaada wake katika Kituo chao na kumtaka Mbunge huyo
kufutalia ajira za Vijana wanaojitolea katika Kituo hicho sasa karibu
miaka miwili hufanya kazi ya kuwahudumia wagonjwa wanaofika kituo hapo
bila ya kuajiriwa amemuomba mbunge huyo kufuatilia swala hilo.
Wauguzi
wa Kituo cha Afya Fuoni na Wananchi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la
Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika
ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya
Wananchi wanaofika kupata huduma kituoni hapo.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika
kwa hafla hiyo ya kukabidhi vifaa katika kituo cha afya fuoni Zanzibar.
Wananchi na Waguzi wa kituo hicho wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya kukabidhi vifaa.
Mbunge
wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abass Mwinyi akiwa na Wauguzi wa kituo
hicho wakibadilisha mawazo baada ya hfla hiyo akiwa katika eneo la kituo
hicho fuoni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment