MASTAA WA SOKA DUNIANI WALIVYOSHEREKEA SIKUKUU YA XMAS - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 25 December 2015

MASTAA WA SOKA DUNIANI WALIVYOSHEREKEA SIKUKUU YA XMAS

Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara laUlaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni mwa mastaa wanaosherehekea sikukuu hii ni Luis SuarezNeymarCristiano Ronaldo,Beckham na familia yake.
2F9B8D3F00000578-3373995-image-a-1_1451042651712
Critiano Ronalldo katika picha ya pamoj akiwa na marafiki zake
2F9B82BD00000578-3373995-image-a-2_1451042687002
Staa wa FC Barcelona Neymar
2F9B7E3600000578-3373995-image-a-3_1451042721339
Beckham na familia yake
2F9B9B3C00000578-3373995-image-a-37_1451044900408
David Beckham akiota moto akiwa na kofia ya Chrismass
2F9BA31900000578-3373995-image-a-39_1451046396973
Mkongwe wa zamani wa Juventus Andre Pirlo akiwa katika mti wa Chrismass
2F9B838000000578-3373995-image-a-4_1451042803775
Mkali wa Chelsea Cesc Fabregas akiwa na familia yake
2F9B878500000578-3373995-image-a-5_1451042843914
Mshambuliaji wa Man City Sergio Aguero akiwa na mtoto wake mbele ya mti wa Chrismass
2F9B859B00000578-3373995-image-a-6_1451042868174
Mcheza ji wa Liverpool Philippe Coutinho akiwa na mkewe na mtoto wake
2F9B864100000578-3373995-image-a-7_1451042926552
Beki wa zamani wa Man United Rio Ferdinand akiwa katika mavazi ya father Chrismass
2F99DD4800000578-3373574-image-a-195_1450991594076
Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard akiwa na zawadi za Chrismass
2F9B831200000578-3373995-image-a-31_1451043769242
Luis Suarez akiwa na mkewe Sofia Balbi
2F9B892900000578-3373995-image-a-33_1451043911689
Mchezaji wa Chelsea Willian akiwa na familia yake
2F9B852900000578-3373995-image-a-36_1451044687193
Ivan Rakitic wa FC Barcelona akiwa na familia yake
2F99DD2F00000578-3373574-Real_Madrid_star_James_Rodriguez_and_wife_Daniela_scrub_up_nicel-m-1_1450993752662
James Rodriguez wa Real Madrid akiwa na mpenzi wake
2F99B80000000578-0-image-a-159_1450985446461
Nyota wa Arsenal wakifurahia kwa pamoja
2F99B80800000578-0-image-a-164_1450985515584
Wachezaji wa Arsenal Calum Chambers na Oxlade-Chamberlain wakiimba na kusherekea sikukuu ya Chrismass
2F99DD3B00000578-3373574-image-a-199_1450991767546
Mchezaji wa Chelsea Oscar akisherehekea na familia yake
Post a Comment