WAFANYAKAZI KIWANDA CHA URAFIKI WAGOMA TENA - LEKULE

Breaking

2 Dec 2015

WAFANYAKAZI KIWANDA CHA URAFIKI WAGOMA TENA


Jeshi la Polisi  Dar es Salaam  leo limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki ambao walifanya mgomo na kuufungia uongozi wa kiwanda hicho  ndani kwa madai ya kutolipwa ongezeko la mishahara yao kwa muda mrefu.
Kutokana na Sekeseke hilo,Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ,Paul Makonda ameamuru kiwanda hicho kifungwe kwa muda ili kusaka suluhu




No comments: