Waziri
Membe akimpokea Rais Mugabe (mwenye Ua Mkononi) mara tu baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini
Dar es Salaam.
Afisa Mambo ya Nje Bi. Liliani Kimaro akisalimiana na Rais Mugabe.
Rais Mugabe akikagua Gwaride la Heshima.
Rais Mugabe akiangalia kikundi cha wapiga Tarumbeta huku Waziri Membe akitoa ufafanuzi wa nyimbi iliyokuwa inachezwa.
===============================
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
(kushoto) akimlaki Naibu Waziri Mkuu wa Namibia Mhe. Netumbo Nandi -
Ndaitwah mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya kushuhudia Uapisho
wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Mhe. Netumbo Nandi - Ndaitwah (wa pili kutoka kulia) akifurahia kikundi cha ngoma kilichopo mbele yao.
================================
Balozi
wa Tanzania nchini Afrika Kusini pia anayeiwakilisha Tanzania nchini
Botswana Mhe. Radhia Msuya (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais wa
Botswana Mhe. Olale Eric Mothibi alipo wasili nchini kwaajili ya
kushiriki Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli. Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment