Tazama VIDEO Hii Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza - LEKULE

Breaking

6 Nov 2015

Tazama VIDEO Hii Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao. 

Tazama  Video  hii  kuona  kilichotokea
 

No comments: