Rais Magufuli Aokoa Tena Milioni 700 za Safari za Vigogo Ulaya - LEKULE

Breaking

22 Nov 2015

Rais Magufuli Aokoa Tena Milioni 700 za Safari za Vigogo Ulaya



Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola. 
  
Badala yake Rais ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege

No comments: