Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Bw, Mahesh Patel Mwenyekiti wa Kiwanda cha Sukari cha
Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara
maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati
na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja
alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho
kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka
nchini India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Bw,Afani
Othman Maalim mara alipowasili katika Kiwanda cha Sukari cha Mahonda
kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya
kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni
ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Kiwanda cha Sukari cha Mahonda
kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya
kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na
Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja wa Kiwanda cha
Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (wa pili kulia) kiliopo katika
Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea
kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta
Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,(kulia ni ) Waziri wa Fedha Omar
Yussuf Mzee.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akiangalia hatua ya ujenzi na kupata maelezo katika
Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B.
Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho
kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka
nchini India.
Hili
ni jengo la Kiwanda cha Sukari cha Mahonda ambalo linamitambo mbali
mbali ambayo inafanyiwa ukarabati wa hali ya juu na Kampuni ya Shanta
Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,na baadae mitambo hiyo iweze
kuzalisha Sukari itakayouzwa ndani na Nje ya Nchi,Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheinleo alitembelea na
kuona hali ya ukarabati huo akiwa katika ziara maalum.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo wakati alipofuatana Meneja wa Kiwanda
cha Sukari cha Mahonda Bw.Rajesh Kumar (katikati) alipotembelea kiwanda
hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar
Holding Ltd kutoka nchini India,kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B.
Unguja,(kulia) Meneja mradi Tushar MEHTA.
Baadhi
ya Mashine katika kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B.
Unguja,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar
Holding Ltd kutoka nchini India,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiambatana na Viongozi mbali mbali
wa Serikali alitembelea kiwanda hicho leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akionesha kitu wakati alipotembelea kiwanda cha Sukari
cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B. Unguja leo ambacho kinachofanyiwa
ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini
India,akiwa katika ziara aliyofuatana na Viongozi mbali mbali wa
Serikali.
Majengo
ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda kiliopo Wilaya ya Kaskazini B.Unguja
yakiwa katika hali hiyo inanyoonekana pichani katika ukarabati
unaofanywa na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini
India.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment