Francisca
Mawala (kushoto) akipatiwa maelekezo na Mwanamitindo wa kampuni ya
Manyatta inayojishughulisha na masuala ya mitindo,Anthonia Kilame(
kulia) wakati alipokuwa akichagua moja ya bidhaa katika Maonesho
yaliojulikana kama” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika
makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo
nchini katika kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika
Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania( katikati ni mbunifu
wa bidhaa hizo Nancy Bondo)
Mwanamitindo
atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Nancy Bondo
(kulia) akimvisha shanga ya shingoni mteja wake Francisca Mawala,mara
baada ya kuinunua wakati wa maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni
maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion
week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania.
Mwanamitindo
atakaye shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Anthonia
Kilame (kulia) akimuonyesha mmoja wa wateja wake waliofika kwenye
maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi
ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini
kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015
chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Mmoja
wa wanamitindo nchini alitakayeshiriki kwenye maonesho ya Swahili
Fashion Week, akimuonyesha mmoja wa wateja mwamvuli alioutengenza kwa
kitenge aliyefika kwenye maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni
maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion
week litakalofanyika Disemba 4-6 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:
Post a Comment