TAYARI MUDA WA FATIKI UMESHAFIKA: Rais Magufuli Amteua George Masaju Kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali - LEKULE

Breaking

5 Nov 2015

TAYARI MUDA WA FATIKI UMESHAFIKA: Rais Magufuli Amteua George Masaju Kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bwana George Masaju kuwa mwana sheria mkuu wa serikali.

Taarifa  iliyotolewa  jioni  hii  na   Katibu  Mkuu Kiongozi,Ombeni  Sefue  jijini  Dar  es  Salaam   imesema  kuwa  Masaju  ataapishwa  rasmi  kesho

No comments: