ISIS Wameshinda Safari hii - LEKULE

Breaking

7 Nov 2015

ISIS Wameshinda Safari hii

Kuna uwezekano mkubwa kuwa ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Misri kwenda Urusi iliangushwa kwa bomu. Wataalamu wa mambo ya usafiri wa anga kutoka Marekani na Ulaya, wanaimani kubwa kuwa kuna mtu alipanda na bomu lililolipuka kwenye ndege ikiwa angani na kuua watu wote 224 waliokuwa kwenye ndege.
rtx1u8dy
Mchunguzi Shadi Hamid kutoka Brookings Institution anayesoma mambo ya magaidi aliiambia New York Times kuwa ISIS wameshinda safari hii kwa kufanikiwa kuiangusha ndege hiyo.

rtr46e3q

No comments: