Meneja wa
Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akisalimiana na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe alipofika ofisini kwake
kuitikia wito wa rais John Magufuli ya kufanya usafi Desemba 9 kwa
kuchangia vifaa vya kufanyia usafi.
Afisa
afya mkuu wa manispaa ya Moshi,Mgeta Sebastian akisalimiana na Meneja wa
Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe alipotembelea ofisi za
halmashauri hiyo kutoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi.
Meneja wa
Azania Bank ,Hajira Mmambe akitia saini katika kitabu cha wageni
ofisini kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.Jeshi Lupembe
(kulia).
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akipokea rasmi msaada
kutoka benki ya Azania uliowasilishwa na Meneja wa benki hiyo ,Hajira
mmambe kwa ajili ya kufanyia usafi.
Wafanyakazi
wa Azania Bank tawi la Moshi,wakishusha mifagio ,iliyotolewa na benki
hiyo kwa ajili ya shughuli za usafi zitakazofanyika Desemba tisa mwaka
huu,kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi ,Jeshi
Lupembe.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na
Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea
msaada a vifaa vya kufanyia usafi kutoka Benki ya Azania tawi la Moshi.
Meneja wa
Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya kufanya
usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jeshi Lupembe
,vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la rais Magufuli
la kufanyika wa usafi siku ya Desemba 9.
No comments:
Post a Comment