handisi
Mshauri wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Khalil
Jadallah akibadilishana mawazo na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha
Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri wakati wa ziara ya Maofisa Wanadhimu wa
Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha Arusha (College of Senior
Commandants- CSC) katiika kiwanja hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza
masuala ya usafiri wa anga.
Naibu
Mkuu wa Chuo cha Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa
chuo cha Arusha (College of Senior Commandants- CSC), Meja Jenerali
Alfred Kapinga (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipowasili kwenye
ofisi ya Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya jana Oktoba 15 na
ujumbe wake wa maofisa 30 wa chuo hicho kwa ajili ya kujifunza masuala
ya usafiri wa anga.
Meneja
wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri
akiwaongoza Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha
CSC Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kutembelea kiwanja
hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Meneja
wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri
akiwaongoza Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha
CSC Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kutembelea kiwanja
hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Meneja
wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri (katikati mbele)
akiwaongoza Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo
cha CSC Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kutembelea kiwanja
hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa
anga. Kushoto kwake ni Mhandisi Mshauri wa Mradi wa ujenzi wa jengo
jipya la abiria la kiwanja hicho, Mhandisi Khalil Jadallah.
Mhandisi
Mshauri wa Mradi wa ujenzi wa jengo jipya la abiria la Kiwanja cha
Ndege cha Songwe, Mbeya, Mhandisi Khalil Jadallah akiwaelezea Maofisa
Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania wa chuo cha CSC
Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kuhusu jengo la abiria
walipotembelea kiwanja hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya
usafiri wa anga.
Mhandisi
Mshauri wa Mradi wa ujenzi wa jengo jipya la abiria la Kiwanja cha
Ndege cha Songwe, Mbeya, Mhandisi Khalil Jadallah akiwaelezea Maofisa
Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wanananchi wa Tanzania wa chuo cha CSC
Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kuhusu barabara ya kutua na
kuruka walipokitembelea Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya
usafiri wa anga.
Muongoza
Ndege wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Berti
Ngowi akiwaelezea Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wanananchi wa
Tanzania wa chuo cha CSC Arusha (College of Senior Commandants-
CSC) kuhusu utendaji kazi wa kituo hicho walipotembelea kiwanja hicho
jana Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Maofisa
Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wanananchi wa Tanzania wa chuo cha CSC
Arusha (College of Senior Commandants- CSC) wakiwa katika picha ya
pamoja na watendaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya baada ya
kumaliza ziara yao ya kutembelea hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza
masuala ya usafiri wa anga.
Inspekta
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe,
Mbeya, Inspekta Msaidizi James Waziri akiwaelezea Maofisa Wanadhimu wa
Jeshi la ulinzi la Wanananchi wa Tanzania wa chuo cha CSC Arusha
(College of Senior Commandants- CSC) kuhusu utendaji kazi wa magari ya
zimamoto wakati walipotembelea kiwanja hicho Oktoba 15 kwa ajili ya
kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Naibu
Mkuu wa Chuo cha Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa
chuo cha Arusha (College of Senior Commandants- CSC), Meja Jenerali
Alfred Kapinga akimkabidhi zawadi Meneja wa Kiwanja cha Ndege
cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri ikiwa ni kumshukuru kwa mapokezi
mazuri wakati maofisa hao walipotembelea kiwanja hicho kwa ajili ya
kujifunza masuala ya usafiri wa anga jana Oktoba 15. Kushoto ni Ofisa
Uendeshaji wa Kiwanja hicho, Jordan Chami.
Meneja
wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi
Amiri akiwashukuru Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa
Tanzania wa chuo cha Maofisa Wanadhimu Arusha (College of Senior
Commandants- CSC), kwa kutembelea kiwanja hicho jana Oktoba 15 kwa ajili
ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Kushoto ni Naibu Mkuu wa Chuo
cha Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha Arusha
(College of Senior Commandants- CSC), Meja Jenerali Alfred Kapinga.
Naibu
Mkuu wa Chuo cha Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa
chuo cha Arusha (College of Senior Commandants- CSC), Meja Jenerali
Alfred Kapinga akimshukuru Ofisa Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege cha
Songwe, Mbeya, Jordan Chami baada ya kutembelea kiwanja hicho kwa ajili
ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga jana Oktoba 15. Katikati ni
Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Godfrey
Lutego.
Abiria
wakiteremka kutoka kwenye ndege ya Fast Jet baada ya kutua katika
Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya jana asubuhi Oktoba 15.
No comments:
Post a Comment