Ramani
ya Barabara ya Juu (Fly Over) itakavyokuwa baada ya ujenzi unaoanza
mwezi ujao kukamilika Oktoba 2018. Mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo
utakaogharimu sh. bilioni 100 umesainiwa leo chini ya ushahidi wa Waziri
wa Ujenzi, Dk John Magufuli.
Waziri wa Ujenzi, ambaye pia ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saikni mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly Over) katika makutano ya barabara za Mandela na Nyerere Tazara, Dar es Salaam leo. Wanaotia saini ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sumitomo Mitsui itakayojenga barabara hiyo, Ichiro Aoki 9kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara wa Serikali,Patrick Mfugale. Ujenzi huo unaotarajia kuanza hivi karibuni na kugharimu zaidi ya Bilioni 100 utakamilika Oktoba 2018.

No comments:
Post a Comment