Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi la kutangaza matokeo ya Urais ambapo jioni hii imetoa matokeo ya majimbo mengine 10
Majimbo hayo ni Bumbuli, Kibaha Mjini,Chambani,Mtambile,Nsimbo,Ndanda,Kiwani,Kiwengwa
Idadi hii imetimiza idadi ya majimbo 13 ukijumulisha na yale matatu yaliyokuwa yametangazwa leo asubuhi.
Katika majimbo haya, Magufuli ameshinda majimbo 9 na Lowassa ameshinda majimbo Manne
Msikilize Mwenyekiti wa Tume Akitangaza
Msikilize Mwenyekiti wa Tume Akitangaza
No comments:
Post a Comment