Top 10 ya wasichana warembo katika mchezo wa tennis 2015 - LEKULE

Breaking

8 Oct 2015

Top 10 ya wasichana warembo katika mchezo wa tennis 2015



Mchezo wa tennis ni moja kati ya michezo inayokuwa kwa kasi duniani kote, October 7 nakuletea Top 10 ya warembo wanaocheza mchezo wa tennis, list hii haitokani na umahiri wao wa kucheza tennis pekee bali hata fashion, muonekano wao. Katika kipindi cha miaka mitano hadi saba Maria Sharapova, Ana Ivanovic , Maria Kirilenko na Anna Kournikova wamekuwa wakiingia katika headlines ya magazine tofauti tofauti.

1- Eugenie Bouchard ni mchezaji tennis kutokea Canada, mrembo huyu ana umri wa miaka 21 lakini anatajwa kama mmoja kati ya wanamichezo wa kike wanaolipwa fedha nyingi.
LONDON, ENGLAND - JUNE 19: Tennis Player Eugenie Bouchard attends the WTA Pre-Wimbledon Party as guests enjoy Ciroc Vodka presented by Dubai Duty Free at Kensington Roof Gardens on June 19, 2014 in London, England. (Photo by Eamonn M. McCormack/Getty Images for WTA)
Eugenie Bouchard

2- Sorana Cîrstea ni mrembo kutokea Romania ana umri wa miaka 25, mara nyingi huwa haonekani akishika nafasi za juu katika mchezo wa tennis ila anatajwa kuwa ni moja kati ya wachezaji tennis warembo kutoka bara la Ulaya.
sorana1-1398004630
Sorana Cîrstea

3- Sania Mirza ana umri wa miaka 28, ukitaja moja kati ya warembo kutoka India basi Sania Mirza huwezi kuacha kumuweka katika list hiyo. Uzuri na urembo wake ni wakuvutia.
Sania-Mirza
Sania Mirza

4- Maria Sharapova ni mrembo wa kirusi na anashika namba 2 katika viwango vya mchezo wa tennis ana umri wa miaka 28, anatajwa kuwa kati ya wanamichezo wanaolipwa nyingi.
Maria-Sharapova-Wallpapers-8-500x281
Maria Sharapova

5-  Caroline Wozniacki ana umri wa miaka 25 raia wa Denmark, ni moaja kati ya wachezaji tennis maarufu sana na amewahi kuiwakilisha nchi yake katika mashindano mbalimbali ikiwemo US Open na Australian Open.
caroline-wozniacki-006 (1)
Caroline Wozniacki

6- Ana Ivanovic ni mrembo kutokea Serbia yupo katika hii list ya wachezaji tennis warembo, ana umri wa miaka 27. Amewahi kutokea mara kadhaa katika magazine za michezo ila mwaka 2013 alikuwa katika list ya wasichana 100 warembo.
ana-ivanovic-the-tennis-superstar-who-never-was-is-on-fire-at-the-australian-open
Ana Ivanovic

7- Agnieszka RadwaÅ„ska aliwahi kushika namba 2 mwaka 2012 katika viwango vya mchezo wa tennis, ameshiriki na kufika katika hatua ya nusu fainali katika michuano tofauti tofauti. ana umri wa miaka 26 anatokea Poland.
radwanska
Agnieszka Radwańska

8- Victoria Azarenka ni mrembo mwenye umri wa miaka 26 anatokea Belarus nae yupo katika hii list ya wachezaji tennis warembo, amewahi kushinda taji la Australian Open lakini alikuwa namba moja katika viwango vya wachezaji tennis kwa mwaka 2012.
725648-victoria-azarenka
Victoria Azarenka

9- Simona Halep kutokea Romania ana umri wa miaka 23 ni moja kati ya wachezaji tennis mahiri, mwaka 2014 alikuwa namba 10 ya katika viwango vya ubora wa wachezaji tennis.
312106-simona-halep-trophy
Simona Halep

10- Garbiñe Muguruza ni moja kati ya wachezaji tennis wanaochipukia Hispania, amefanikiwa kuingia katika top 10 ya viwango vya wachezaji tennis wa kike, umri wake ni miaka 21
garbine-muguruza-jugara-con-espana-1413543986280
Garbiñe Muguruza