Picha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa - LEKULE

Breaking

23 Oct 2015

Picha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Morogoro baada ya kuwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mhe. Edward Ngoyai Lowassa katika viwanja vya Tem k2,leo Ijumaa 23 Oktoba 2015


 

No comments: